Wanakwaya wa Kanisa la Waadventista Wasabato Kigamboni,wakiongoza matching mara baada ya sherehe za mahafali ya Tukasa, tawi la Chuo cha Mwl Nyerere kumalizika, leo mchana.
Mzee wa Kanisa la Waadventista Wasabato Kigamboni Mr Mika akimlisha keki mke wake katika mahafali ya Tukasa, Tawi la Mwl Nyerere, leo mchana, Wote ni waimbaji wa kwaya ya kanisa la Kigamboni
Mama na mwana wakilishana Keki katika mahafali ya Tukasa katika Tawi la Chuo cha Mwl Nyerere, leo mchana. Mama na mwana wote ni waimbaji mahiri katika kwaya ya Waadventista Wasabati Kigamboni
Sehemu ya wanakwaya wa Kanisa la Waadventista Wasabato Kigamboni wakiwasilisha ujumbe kwa njia ya wimbo katika mahafali ya Tukasa katika Chuo cha Mwl. Julius Nyerere, leo mchana.
Baadhi ya wanakwaya
ya Kanisa la Waadventista Wasabato Kigamboni wakijifua chini ya kivuli
kabla ya kutoa ujumbe katika Mahafali ya Wanafunzi wa Chuo cha Mwl
Nyerere leo mchana